Case 1
Conda:Beba beba madam unaenda?
Lady:Sneers,rolls eyes and mschewwws>
Conda: Unaringa na unafanana kiatu yangu na chini, Dere inua!
Case 2
Conda:Beba beba tao twende!
Plump Chic:Ni ngapi?
Conda:Tao ni 70 msuper
Plump Chic: Ai siezi lipa hio!
Conda: Haya juu uko na tyre kwa tumbo, roll hadi tao, nkt!
Case 3
Conda; town 60 60 60 …
All passengers ignore …
Conda; dere inua, hawa ni ka wanangoja Ngamia..
Case 4
Woman: We hii kelele ni mingi sana!
Conda(pretending not to hear): Ati?
Woman: Nasema kelele ni mingi, punguza!
Conda: Oooh pole fungua dirisha itoke
Case 5
Conda: Pesa yako
Conda: Hauna Pesa ingine
Case 6
Conda: Dere simamisha gari turushe mtu inje
Conda:Haya pesa yako hapo nyuma..
Man:Ah nitakupatia.Utaipata tu hapo mbele.
Conda:Ala kwani hiyo pesa yako inapandia stage gani?
Case 7
Conda:Hela mkononi hapo!
Dude:Gives cash, dozes off
Conda:Boss sasa leta ya lodging
-niaje.com
